Pages

Tuesday, February 2, 2016

Tunda La Nazi Na Faida Zake


Watafiti wanasema kuwa mafuta ya nazi na nazi tunayokula kwenye vyakula yanasaidia mwili wetu kuwa nguvu ya kupigana na wadudu wanaosababisha magonjwa. Na zaidi zaidi yasaidia ku ulinda mwili na fungus (including yeast and candida).

Na zaidi ya yote, ulaji wanazi yafanya mwili kupata natural sex lubricant ya kutosha. Haya sex tip hiyo, kazi kwenu wapendanao                 

0 comments:

Post a Comment