Pages

Wednesday, February 3, 2016

SHIRIKA LA AGPAHI LATOA MSAADA WA BAISKELI 104 KWA WATOA ELIMU YA VVU NA UKIMWI MAJUMBANI SHINYANGA,ZIKO HAPA PICHA 32

Hizi ni miongoni mwa baiskeli 104 zilizotolewa na Shirika la Kitanzania lisilo la kiserikali AGPAHI (Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI zilizotolewa katika mkoa wa Shinyanga.Shirika hilo limetoa baiskeli 104 katika halmashauri nne za wilaya mkoa wa Shinyanga,ambazo ni halmashauri ya mji Kahama,halmashauri ya Msalala,Ushetu na manispaa ya Shinyanga. Read more »

0 comments:

Post a Comment