Pages

Wednesday, February 3, 2016

JAJI MKUU WA KENYA DKT. WILLY MUTUNGA AFURAHIA UTENDAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA

Jaji Mkuu wa Kenya Mhe. Dkt. Willy Mutunga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuipongeza Mahakama ya Tanzania kwa utendaji wake wa kusikiliza na kuamua mashauri mengi yanayopelekwa mahakamani. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na Kulia ni Jaji Kiongozi Mhe. Shaan Lila.

0 comments:

Post a Comment