Pages

123
Tuesday, February 16, 2016

FAIDA ZA PARACHICHI NA MBEGU ZA PARACHICHI

Eating a creamy slice or two of avocado a day will definitely keep the doctor away. This delicious fruit makes a great substitute for mayonnaise and butter. If you are a regular Daily Superfood Love reader by now, you know that we have something of a love affair with the benefits of avocados it’s one of the best way to protect your cardiovascular health, reduce inflammation from arthritis, and rejuvenate your skin and...

Thursday, February 4, 2016

HEALTH BENEFITS OF DRINKING ENOUGH WATER

Our bodies are around 60% water, give or take. It is commonly recommended to drink eight 8-ounce glasses of water per day (the 8×8 rule). Although there is little science behind this specific rule, staying hydrated is important. Here are 7 evidence-based health benefits of drinking plenty of water. 1. Water Helps to Maximize Physical Performance If we do not stay hydrated, physical performance can suffer. This is particularly important during...

Thursday, February 4, 2016

HEALTH BENEFITS OF VEGETABLES

      People who eat fruit and vegetables as part of their daily diet have a reduced risk of many chronic diseases. USDA's MyPlate encourages making half your plate fruits and vegetables.   Vegetables are important part of healthy eating and provide a source of many nutrients, including potassium, fiber, folate (folic acid) and vitamins A, E and C. Options like broccoli, spinach, tomatoes and garlic provide additional...

Wednesday, February 3, 2016

BAADHI YA MAGAZETI YA LEO FEB 3, 2015

POSTED BY: KHAMISI MUSA AT 2/03/2016 0 COMMENTS  EMAIL THIS ...

Wednesday, February 3, 2016

TCRA YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUGUNDUA SIMU FEKI ZANZIBAR

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Innocent Mungy, akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar kuhusiana na kutambua Simu Feki na kudhibiti uingiaji wa Simu hizo Tanzania na kueleza mwisho wa matumizi wa simu hizo Nchini Tanzania ni Juni 2016. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilima Zanzibar na kuwashirikisha waandishi wa Vyombo mbali mbali vilioko Zanzibar.  Naibu Mkurugenzi...

Wednesday, February 3, 2016

WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA ETHIOPIA WANASWA NA POLISI MIKUMI MORO NDANI YA NOAH KUTOKEA CHALINZE KUELEKEA TUNDUMA..

   Gari walilokuwa wakitumia wahamiaji  haramu wa Ethiopia ( mbele ) waliokamatwa likiwa nje ya jengo la Kituo Kikuu cha Kati cha Polisi mjini Morogoro.  Wahamiaji  haramu wa Ethiopia waliokamatwa na Polisi,  jana wakiwemo na watanzania wawili ,eneo la Mikumi, wilayani Kilosa  katika barabara kuu ya Mikumi- Iringa, wakiwa chini ya Ulinzi wa Polisi eneo la viwanja vya  Jengo...